Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba 2024/2025 BMZ Yametangazwa Leo

Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba 2024/2025 BMZ Yametangazwa Leo

Leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Zanzibar Dkt. Rashid Abdul-azizi Mukki akitoa taarifa ya ufaulu wa kimasomo Katika Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba kwa Mwaka 2024.
Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba 2024/2025 BMZ Yametangazwa Leo

Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Zanzibar Dkt. Rashid Abdul-azizi Mukki leo tarehe 30/12/2024 ametangaza matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba katika ukumbi wa mkutano wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.

Aidha matokeo hayo yanaonesha kuongezeka kwa ufaulu kutoka 95.0 mwaka 2023 hadi 96.66 kwa mwaka huu sawa na ongezeko la asilimia 1.66. Watahiniwa 44,486 wamefaulu kwa madaraja A,B,C na D na Watahiniwa 1,535 wamepata daraja F. Matokeo hayo yanapatikana katika tovuti zifuatazo:
https://kist.ac.tz/bmz/result/std7-2024
Author
GiftVerified member
Views
1,067
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Similar resources Most view View more
Back
Top Bottom