Resource icon

Fursa MUONGOZO WA UOMBAJI WA UFADHILI WA CHEVENING TANZANIA 2025-2026 01-04-2025

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Mwongozo wa kuomba ufahili wa Chevening China kwa watanzania 2025-2026. Huu ni ufadhili unaolipia kila kitu (fully funded scholarship) unaotolewa na Serekali ya Uingereza kupitia ofisi yake ya Mambo ya nje, Umoja wa madola na maendeleo, pamoja na vyuo vikuu vya Uingereza vilivyoingia makubaliano na program hii. Ufadhili huu ulianza rasmi mwaka 1983 na mpaka mwaka 2023, wanufaika 57,000 kutoka nchi mbalimbali wamenufaika na ufadhili huu.
MUONGOZO WA UOMBAJI WA UFADHILI WA CHEVENING.webp


Pakua PDF hapo juu
Author
Gift
Downloads
1,222
Views
3,258
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Similar content Most view View more
Back
Top Bottom