Resource icon

Mwongozo wa Kuomba Ufadhili wa Commonwealth Scholarship Tanzania 2025-2026 01-04-2025

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Mwongozo wa Kuomba Ufadhili wa Commonwealth Scholarship Tanzania 2025-2026. Commonwealth scholarships ni scholarships ambazo hutolewa na Kamisheni ya Ufadhili yaCommonwealth (Commonwealth Scholarship Commission-CSC) iliyopo nchini Uingerezakupitia ofisi ya Maendeleo, Mambo ya nje na Jumuiya ya Madola (UK Foreign,Commonwealth and Development Office-FCDO). Ufadhili huu ulianza rasmi mwaka 1960na mpaka sasa wanufaika Zaidi ya 31,000 kutoka nchi mbalimbali wamenufaika na ufadhilihuu. Lengo kuu la fadhili hizi ni kuwasaidia raia hodari kutoka nchi za Jumuiya ya Madolakuweza kusoma katika vyuo vya Uingereza na kuweza kuleta mabadiliko na athari zamaeneleo endelevu hasa katika nchi zao.
Mwongozo wa Kuomba Ufadhili wa Commonwealth Scholarship Tanzania 2025-2026
Author
Gift
Downloads
1,716
Views
2,695
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Similar content Most view View more
Back
Top Bottom