TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 06-03-2025 AJIRA PORTAL

PDF TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 06-03-2025 AJIRA PORTAL 2025-03-06

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 03-09-2024 na tarehe 24-02-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI WALIMU NA KADA MBALIMBALI 06-03-2025 AJIRA PORTAL
Author
Gift
Downloads
4,497
Views
25,395
First release
Last update

Ratings

0.00 star(s) 0 ratings

More resources from Gift

Similar content Most view View more
Back
Top Bottom