Nafasi za kazi Project Zawadi December 2024 ni kuhakikisha watoto na vijana wa Kitanzania wanapata elimu bora. Project Zawadi (PZ) ni shirika dogo lisilo la faida linalotoa msaada kupitia programu tatu: Msaada kwa Wanafunzi, Msaada kwa Shule (Shule za Mfano), na Mafunzo ya Walimu (Tenda...
Hizi hapa Nafasi za kazi CCBRT Tanzania Decemeber 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
CCBRT inalenga kuwa kituo bora cha huduma za afya maalum zinazopatikana kwa urahisi barani Afrika. Wanatoa huduma kama...
Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Ajira Mpya NBAA December 2024, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha Watanzania wenye sifa, uzoefu, na bidii kushiriki kujaza nafasi mbili za kazi: Mkurugenzi wa Huduma za Wanachama na...
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili MJNUAT. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT), anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili utafanyika kuanzia...
ajira portal
ajiratanzania
chuo kikuu cha mwalimu julius k. nyerere
kilimo
kuitwa kwenye usaili mjnuat
kuitwa kwenye usaili utumishi
mjnuat
usaili mjnuat
utumishi
walioitwa kwenye usaili mjnuat
Hizi hapa Nafasi za kazi Kwa niaba ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha Watanzania wenye sifa, ujuzi, na ari ya kazi kujitokeza kuomba nafasi moja ya kazi kama ilivyoainishwa hapa chini December 2024.
Shirika la...
ajira mpya
ajira mpya tpdc
ajiratanzania
nafasi za kazi
nafasi za kazi tpdc
shirika la maendeleo ya petroli tanzania
shirika la maendeleo ya petroli tanzania (tpdc)
tpdc
Hizi hapa Nafasi za kazi 40 Kampuni ya E360 Tanzania December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo kwa kufata vigezo vilivyo ainishwa katika tangazo hili.
E360 ni kampuni ya Mafunzo na Ushauri inayotoa suluhisho za kielimu na kihandisi...
Hizi hapa Nafasi za kazi Gran Melia Arusha December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye nia, ari na sifa kwa kufata vigezo vilivyo ainishwa katika tangazo hili.
ajira gran melia
ajira mpya
ajiratanzaniaajira za kupika chakula
ajira za wapishi
gran melia arusha
nafasi za chef
nafasi za kazi
nafasi za kazi gran melia
nafasi za upishi
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Water Institute - WI anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba...
Save the Children Tanzania inatafuta watu wenye shauku na kujituma kujiunga na timu yetu jijini Dar es Salaam. Ungana nasi katika kuleta mustakabali mzuri kwa kila mtoto!
📌 Nafasi Iliyopo: Mkuu wa Idara ya Ufuatiliaji, Tathmini, Uwajibikaji na Kujifunza (MEAL)
Ikiwa uko tayari kuleta...
SHULE YA AWALI NA MSINGI THE FINEST INATANGAZA NAFASI ZA KAZI
KAMA IFUATAVYO;
1. Mwalimu Daraja A (Masomo ya Sayansi) Nafasi 01
2. Dereva (nafasi 02)
3. Msimamizi (Matron) Nafasi 02
4. Meneja wa Shule. (Nafasi 01)
5. Mpishi (Nafasi 01)
Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma...
Mwambao Coastal Community ulianzishwa mwaka 2010 kwa lengo la kusaidia jamii za pwani nchini Tanzania kuunda mifumo thabiti na madhubuti ya usimamizi wa rasilimali zinazosaidia maisha na kuhifadhi mifumo ya ikolojia ya baharini. Mwambao hutumia mbinu inayozingatia haki za binadamu, huku ikiwapa...
Taasisi ya NGURUKA DEVELOPMENT AGENCY (NDA), ni taasisi iliyosajiliwa kwa usajili namba OONGO/00004986, yenye makao makuu mkoani Kigoma na tawi jijini Dar es Salaam. Taasisi ya NDA, inajihusisha na shughuli za kimaendeleo, Mazingira na ulinzi wa haki za binadamu. NDA inatekeleza miradi yake kwa...
Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi 41 Benki Kuu ya Tanzania Ajira Mpya BOT December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
Ajira mpya BOT
Benki Kuu ya Tanzania, ambayo ni Benki Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa...
Hizi hapa Nafasi za kazi Ifakara Health Institute December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye nia, ari na sofa zote zilizo ainishwa katika tangazo hili.
Hizi hapa nafasi za kazi kutoka Nafasi za kazi Frostan Tanzania December 2024 kwa niaba ya nyam nyam zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa, waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo mpaka tarehe 20 Decemba 2024.
Huduma za Kukuza Utalii (Tourism Promotion Services - TPS), inayomiliki Serena Hotels, ni mkusanyiko wa hoteli za kifahari, lodges za safari, kambi, na resorts 22 katika nchi 7 za ukanda wa Afrika Mashariki (Kenya, Tanzania, Zanzibar, Msumbiji, Uganda, Rwanda, na DR Congo).
Serena Hotels...
Hizi hapa nafasi za Nafasi za Restaurant Cashier Selena Hoteli December 2024. Huduma za Kukuza Utalii (Tourism Promotion Services - TPS), inayomiliki Serena Hotels, ni mkusanyiko wa hoteli za kifahari, lodges za safari, kambi, na resorts 22 zilizopo katika nchi 7 za Afrika Mashariki (Kenya...
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili IAE, MNMA December 2024 PDF. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa...
Hizi hapa Nafasi za Internship CNS Group December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote nia, ari na sifa kulingana na vigezo vilivyowekwa katika tangazo hili hapa chini.
CNS GROUP inasaidia biashara za kimataifa hapa Tanzania kwa kutoa suluhisho bora za rasilimali watu, zikichanganya ujuzi...
Hizi hapa Nafasi za kazi Chimi December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote nia, ari na sifa kulingana na vigezo vilivyowekwa katika tangazo hili hapa chini.