Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi Uhamiaji Tanzania November 2024/2025 | Barua za Maombi, jinsi ya kutuma mombi, kufungua akaunti, kujisajili yote hayo unayapata hapa. na kama una swali uliza.
ajira idara ya uhamiajiajira mpya uhamiajiajira mpya uhamiaji 2024
ajirauhamiajiajirauhamiaji 2024
nafasi za kazi uhamiaji
nafasi za kazi uhamiaji 2024
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI – IDARA YA UHAMIAJI
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kanuni Na. 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania katika Idara ya Uhamiaji. Nafasi hizi ni za Askari wa Uhamiaji...