TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI – IDARA YA UHAMIAJI
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kanuni Na. 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania katika Idara ya Uhamiaji. Nafasi hizi ni za Askari wa Uhamiaji...