You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
DTB Bank Tanzania imetangaza Nafasi za kazi kawa:-
(Direct Sales Agent - Personal Loan)- agenti wa mauzo ya moja kwa moja - mkopo wa kibinafsi
Awe na Diploma au Degree
Tuma maombi kabla ya tarehe 27 Disemba kwa
recruitment2024@diamondtrust.co.tz
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.