Tangazo:
- Nafasi za kazi 1592 zilizo tangazwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa nchi nzima kwa vijana.
Tangazo hilo la ajira mpya limetangazwa leo tarehe 06/02/2025 waweze kutuma maombi kupitia mtandanoni kujaza nafasi zilizo wazi hakikisha unasoma maelezo yote yaliyopo katika chapisho hilo.
Bonyeza hapa kutuma maombi
Tovuti ya TRA kuona tangazo
Bonyeza hapa chini kupakua PDF
Nafasi za Kazi 1592 TRA Februari 2025
Ajira Mpya 2025