Bernard Morrison Mchezaji Mpya Ken Gold

Bernard Morrison Mchezaji Mpya Ken Gold

Revoo

Member

Reputation: 21%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
182
Klabu ya soka ya Kengold imemsajili mchezaji wa kimataifa kutoka Ghana Bernard Morrison kama mchezaji huru kwa mkataba wa miezi sita.
FB_IMG_1735663421735.webp


Morrison ambaye alikuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu akiuguza majeraha wakati akiitumikia FAR Rabart ya Nchini Morocco, sasa yuko fiti kuwatumikia wachimba madini KenGold.

Morrison amewahi kuvitumikia vilabu vya Orlando Pirates, Club ya Young Africans, Simba Sc, As Vita na FAR Rabart.

Kengold wanafanya usajili wakuwasaidia kubaki Ligi kuu Tanzania bara.
 
Back
Top Bottom