- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 160
"...Sisi wachezaji wetu ndio ambao watakaotubakiza kwenye ramani ya Champions League na wao ndio watakaotutoa kwenye ramani kwa hiyo ufunguo upo kwao watuweke kwenye mashindano kwa kushinda au kututoa kwa kupoteza, uzuri na wachezaji wametoa ahadi yao kuwa watapigana kushinda."- Eng. Hersi Said Rais wa Yanga.
"Kwasasa tuna alama moja na endapo tukishinda michezo yetu mitatu basi tutafikisha alama 10 ambazo zitatuvusha hatua inayofuata."- Eng. Hersi Said.
"Klabu ya Yanga ndio ambayo inaingiza pesa nyingi kwenye Champions League na kuingia makundi kuna zaidi ya dollars laki saba (USD 700,000) sawa na shilingi Bilioni 1.68 na pesa zote hizi zinaenda kwa wachezaji, ila nikuhakikishie ni pesa nyingi tumeweka kama Bonus, mfadhili wetu pia GSM ameweka Bonus kubwa na hii ni tofauti na ile yetu ya klabu."- Eng. Hersi Said.