Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal | Mwongozo wa Kufungua Account Ajiraportal

Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal | Mwongozo wa Kufungua Account Ajiraportal 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,187
Gift submitted a new resource:

Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal | Mwongozo wa Kufungua Account Ajiraportal - Mwombaji kazi anathibitisha namba ya NIDA na kukamilisha taarifa binafsi kwenye mfumo wa ajira.

Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal | Mwongozo wa Kufungua Account Ajiraportal. Mwombaji kazi anapaswa kuingiza namba yake sahihi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) kwenye mfumo. Baada ya kuingiza namba hiyo, mfumo utamuuliza maswali ya uthibitisho ili kuhakikisha kuwa namba ni sahihi na inahusiana na mwombaji. Taarifa zikithibitishwa, mfumo utachukua taarifa kutoka NIDA na kuziingiza moja kwa moja kwenye mfumo wa maombi ya kazi.
[ATTACH type="full" size="960x579" alt="Jinsi...

Read more about this resource...
 
Ajira za kilimo mbona hazitoki tangu mwaka janaaaa hii nchi jamani so kwa utaratibu huo kuita watu kwenye interview mpaka wamalize mwaka alf ukifika muda wa uchaguzi mseme mmetoa ajira kadhaa kwa hali hii kama vile haki azitendewi wakulima msimu ndo hii watu waitwe kwenye interview msimu ndo huu hadi mwaka wa masomo mpya unaingia ngoma droo jaman🤔🤔🤔🤔
 
  • Like
Reactions: Sia

Ni kufatilia tu matangazo ajira portal
 
Jaman ajira za kilimo mbn zimesahaurika wizara zingine wanatoka tu ya kilimo imetolewa kwenye mfumo
 
Back
Top Bottom