Jinsi ya Kutuma Maombi Ajira za Mkataba Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha – Mt. Meru katika nafasi za kazi mbalimbali zilizo tangazwa leo.
- Jisajili kwenye mfumo wa maombi.
- Thibitisha akaunti yako kupitia kiungo kilichotumwa kwenye barua pepe yako.
- Ingia kwenye akaunti yako na ujaze wasifu wako kikamilifu.
- Tuma maombi ya nafasi unayotaka kwenye orodha ya nafasi za kazi.
Nafasi za Kazi ESAMI Tanzania
Ajira Mpya 2025