Kikosi cha YOUNG AFRICAN'S Vs SINGIDA FOG Leo Tarehe 29 Desemba 2024 NBC PL

Kikosi cha YOUNG AFRICAN'S Vs SINGIDA FOG Leo Tarehe 29 Desemba 2024 NBC PL

Revoo

Member

Reputation: 19%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
169
KIKOSI Cha Young African's vs Singida Fountain Gate Leo 29 December 2024

Klabu ya Yanga itakuwa nyumbani Leo kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate .
20241229_140337.webp


Mchezo huo utapigwa December 29, 2024 kwenye Uwanja wa KMC Complex Mkoani Dar es salaam.

Kuelekea mchezo huo, Wananchiforum itakuletea Kikosi Cha Young African's kinachoanza dhidi ya Singida Fountain Gate.
Screenshot_20241229-140818~2.webp
 
Back
Top Bottom