Hizi hapa Kozi zinzotolewa Chuo cha Arusha VTC VETA
Simu: 027 2500968
Nukushi: 027 2503083
Barua pepe: arushavtc@veta.go.tz
Eneo: Karibu na JKT Oljoro
- Electrical Installation (EL) - Ufundi wa Umeme
- Welding & Fabrication (WF) - Uchomeleaji na Utengenezaji wa Vyuma
- Agro Mechanics (AGM) - Ufundi wa Mashine za Kilimo
- Plumbing & Pipe Fitting (PPF) - Ufundi wa Mabomba na Ufungaji
- Design Sewing & Clothing Technology (DSCT) - Ubunifu wa Ushonaji na Teknolojia ya Mavazi
- Carpentry & Joinery (CJ) - Ufundi wa Useremala
- Masonry & Bricklaying (MB) - Ufundi wa Uashi na Ujenzi wa Matofali
Mawasiliano
S. L. P. 509, Arusha.Simu: 027 2500968
Nukushi: 027 2503083
Barua pepe: arushavtc@veta.go.tz
Eneo: Karibu na JKT Oljoro