Kuitwa kwenye Usaili Ajira Portal Majina ya Nyongeza

Kuitwa kwenye Usaili Ajira Portal Majina ya Nyongeza Kada ya Ualimu

Hili hapa tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Ajira Portal Majina ya Nyongeza kada ya ualimu leo tarehe 08 januari 2025.
Kuitwa kwenye Usaili Ajira Portal Majina ya Nyongeza

Leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 05-02-2025 hadi 07-02-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

Pakua PDF hapo chini
 

Attachments

Last edited by a moderator:
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom