- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 192
Maneno ya Kocha Mkuu wa zamani wa Wydad Casablanca, Esperance de Tunis, Raja Club Athletic na Timu ya Taifa ya Tunisia Faouzi Benzart.
"Sitoshangaa Mwaka huu katika orodha ya Ligi bora Afrika, Tanzania ikatushusha na kukaa juu yetu.. Ligi yetu ya Tunisia vilabu vingi vinazidi kuwa hoi kila panavyokucha wakati wenzetu wanapambana kusonga mbele"
"Zamani ilikuwa ni ngumu sana kuona Klabu za Afrika Mashariki vikifunga Klabu zetu ndani na nje lakini sasa imekuwa kawaida haswa vilabu vya Tanzania.. ni vile tu tunatembelea upepo wa Ubora wa Esperance de Tunis lakini nje ya hapo tumeshapoteana."