Mabadiliko Sehemu ya Kufanyia Usaili Dar es Salaam Kada za Ualimu

Mabadiliko Sehemu ya Kufanyia Usaili Dar es Salaam Kada za Ualimu Ajira za Walimu

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Leo, Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwajulisha waombaji kazi wa kada za Ualimu wanaofanyia saili zao Mkoa wa Dar es Salaam kuwa, Usaili wa kuandika utafanyika katika Shule ya Sekondari Jitegemee (Mgulani Jkt Dar es Salaam) badala ya Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dar es salaam, kama ilivyooneshwa kwenye Tangazo la awali la kuitwa kwenye Usaili.
Mabadiliko Sehemu ya Kufanyia Usaili Dar es Salaam Kada za Ualimu

Kada zote zitakazofanya Usaili Tarehe 29 Januari, 2025, 05 Februari, 2025, 12 Februari, 2025 na 19 Februari, 2025 mnatakiwa kwenda katika Shule ya Sekondari Jitegemee (Mgulani Jkt Dar es Salaam) kwa ajili ya kufanya Usaili.
Usaili Dar es Salaam Kada za Ualimu

Aidha, muda wa usaili utabaki kama ulivyo kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili.
 
Nafasi za Kazi TWCC  Ajira Mpya 2025
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom