MABADILIKO YA ENEO LA KUFANYIA USAILI MKOA WA SHINYANGA

MABADILIKO YA ENEO LA KUFANYIA USAILI MKOA WA SHINYANGA Interview ya Walimu

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Waombaji kazi wote wa Kada za ualimu walioitwa kwenye usailii Mkoa wa Shinyanga mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili.
MABADILIKO YA ENEO LA KUFANYIA USAILI MKOA WA SHINYANGA

Usaili wa kuandika pamoja na usaili wa mahojiano utafanyika Chuo cha Ualimu Shinyanga (Shaycom) badala ya Chuo cha Ushirika Kizumbi kama ilivyooneshwa kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili.

Mabadiliko haya yanahusisha usaili utakaofanyika kuanzia tarehe 21.01.2025 na kuendelea.

Aidha, tarehe na muda wa usaili utabaki kama ulivyo kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili. Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti yetu www.ajira.go.tz

Imetolewa na :Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom