MABADILIKO YA ENEO LA KUFANYIA USAILI WA MAHOJIANO MWALIMU DARAJA LA IIIA MKOA WA DODOMA

MABADILIKO YA ENEO LA KUFANYIA USAILI WA MAHOJIANO MWALIMU DARAJA LA IIIA MKOA WA DODOMA Ajira Portal

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
MABADILIKO YA ENEO LA KUFANYIA USAILI WA MAHOJIANO MWALIMU DARAJA LA IIIA MKOA WA DODOMA

Waombaji kazi wote wa Kada ya MWALIMU DARAJA IIIA walioitwa kwenye usaili wa Mahojiano ya tarehe 21.01.2025 Mkoa wa Dodoma mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili wa Mahojiano.
MABADILIKO YA ENEO LA KUFANYIA USAILI WA MAHOJIANO MWALIMU DARAJA LA IIIA MKOA WA DODOMA

Usaili wa Mahojiano utafanyika Chuo Kikuu cha Dodoma (Lecture rooms -College of Business and Economics) badala ya Ofisi za Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma (PSRS), kama ilivyooneshwa kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili.

Aidha, tarehe na muda wa usaili utabaki kama ulivyo kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili. Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti yetu www.ajira.go.tz
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom