Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wa Kada ya Kitchen Attendant III ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwamba, kutakuwa na usaili wa kuandika (Mchujo) kabla ya usaili wa vitendo. Usaili huo (Mchujo) utafanyika kwa njia ya Mtandao tarehe 31 Mei, 2026, tembelea akaunti yako ya Ajira Portal na tovuti ya ajira.go.tz kwa taarifa zaidi.
TANGAZO LA MTIHANI WA USAILI TAKUKURU 2026 PDF
Interview PCCB 2026