Waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa Vitendo wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) na Shirika la Uvuvi (TAFICO) mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya tarehe na mahali pa kufanyia usaili wa vitendo.
Download PDF
Last edited: