- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Katika mechi ya leo ya Simba dhidi ya Ken Gold.. ELIE MPANZU anaweza asitumike kutokana na ITC yake kutoka AS VITA, bado hawajairuhusu ili jina lake lisomeke Simba.
Lakini viongozi wanapambana ili mchakato huo ukamilike ili acheze leo.
ITC ni ufupisho wa INTERNATIONAL TRANSFER CERTIFICATE yaani kwa kiswahili ni (HATI YA USAJILI WA KIMATAIFA)
ITC inatumika tu unapomsajili mchezaji kutoka Shirikisho moja la Soka kwenda lingine, Hata kama mchezaji ni mzawa wa Nchi yako lakini umemsajili kutoka Nchi nyingine huwezi kumtumia bila kupata ITC yake
Mfano, Usajili wa Abdulrazak Hamza kutoka SuperSport Afrika Kusini kuja Simba ulihusisha ITC sababu ni mashirikisho ya Soka mawili tofauti
Vile vile usajili wa mchezaji mgeni lazima upate ITC yake kutoka alipokua kuja kwenye shirikisho analokuja kucheza soka
Mfano, Elie Mpanzu kutoka As Vita DR Congo ndio waliokua wanammiliki hata kama alimaliza Mkataba bado ITC yake ilikua kwenye shirikisho la Soka DR Congo hivyo ili kusajiliwa Simba ni lazima ITC hiyo itumwe kwenye mfumo wa TFF
Mifano ya wachezaji waliosajiriwa timu za shirikisho Moja Kwa mkataba Wao kuisha na kucheza bila ITC
1. Chama alitoka Simba kwenda Yanga, Hizi Timu zote zipo chini ya TFF hakuna haja ya ITC
2. Morrison alitoka Yanga kwenda Simba hizi Timu zote zipo chini ya TFF hakuna haja ya ITC
Elimu hii
wapelekee na wenzako