Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2025/2026 Selform

TAMISEMI Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2025/2026 Selform Selection Form Five

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hii hapa orodha kamili ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano 2025/2026 mfumo kwa waliopata matokeo yao ya kidato cha nne mwaka 2024 form five selection kuanza safari mpya ya elimu Tanzania kupitia katika mfumo wa Selfom Tamisemi yakiwa katika PDF pamoja na fomu za kujiunga na shule mbalimbali pamoja na vyuo vya kati mbalimbali.

Hivyo basi, uchaguzi huo wa wanafunzi wa kidato cha Tano na vyuo vya kati, bofya na chagua Mkoa wako uliosoma kuangalia orodha ya waliopangwa kwenda shule moja.
Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2025/2026 Selform


Hata hivyo, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI atawatangazia wananchi wote kuwa orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano awamu ya kwanza, pili kwa mwaka 2025 itakapotoka. Unaweza kuangalia orodha hiyo kupitia kiunganishi cha:

Kuangalia kupitia Selform Tamisemi Bonyeza hapa

Waliochaguliwa kujiunga na kidato cha Tano 2024-2025

Fomu za kujiunga na kidato cha Tano 2025

Kama utapata changamoto wakati wa kutafta jina lako au mkoa wako tafadhali usisite kuandika ujumbe wako hapa.
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom