Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal Taasisi mbalimbali Utumishi

Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal Taasisi mbalimbali Utumishi Januari 2025

Hili hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Ajira Portal Taasisi mbalimbali Utumishi lililo toka siku ya leo tarehe 08 januari 2025.

Leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 27-04-2024 na tarehe 13-11-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal Taasisi mbalimbali Utumishi

Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.

Pakua PDF hapo chini.
 

Attachments

Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom