What's new

Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Simiyu

Gift

Administrator
Staff member
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2024 - Halmashauri za Mkoa wa Simiyu Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.

Kuitwa kazini utumishi na ajira portal
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02 Septemba 2023 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.
Pitia: Nafasi za kazi MVU Group Tanzania
Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Simiyu

Maagizo kwa Waombaji Waliofaulu​

Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.

Taarifa Muhimu kwa Waombaji​

Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.

Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal

Kuhusu Simiyu: Mkoa wa Simiyu ulianzishwa kwa Tangazo la Serikali (GN) Na. 72 la tarehe 02 Machi, 2012. Mkoa huu unapatikana Kaskazini mwa Tanzania, Kusini Mashariki mwa Ziwa Victoria. Mkoa huu upo kati ya longitudo 33°03” na 34°01” Mashariki ya mstari wa Griniwichi na latitudo 02°01” hadi 04°00” Kusini mwa Ikweta. Kwa upande wa Kaskazini, Mkoa wa Simiyu unapakana na Mkoa wa Mara; upande wa Mashariki Mikoa ya Arusha Singida na Manyara; Kusini Mkoa wa Shinyanga na Tabora na upande wa Magharibi Mkoa wa Mwanza.
 

Attachments

Back
Top