Hili hapa Tangazo kuitwa kuanza Mafunzo ya Ufundi na Stadi za Kazi katika fani mbalimbali kwa njia ya Uanagenzi. Itakumbukwa kuwa tarehe 31 Januari, 2025 Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu (OWM-KVAU) ilitangaza fursa za mafunzo ambayo yatatolewa katika Taasisi za mafunzo zilizotangazwa. Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu inapenda kuutaarifu umma kuwa jumla ya vijana 8,000 wamechaguliwa kujiunga na mafunzo katika vyuo 52 nchini. Majina ya vijana waliochaguliwa yamebandikwa kwenye mbao za matangazo za vyuo husika na katika tovuti ya kazi.go.tz. Vijana waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwenye vyuo hivyo kwa ajili ya kujisajili kuanza mafunzo kuanzia tarehe 3 Machi, 2025. Mafunzo yanatolewa ni ya kutwa. Mikoa na vyuo husika ni kama ifuatavyo:-
ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KATIKA FANI MBALIMBALI NA ORODHA YA AKIBA - MACHI 2025
Bonyeza hapo chini Ku-download PDF
ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KATIKA FANI MBALIMBALI NA ORODHA YA AKIBA - MACHI 2025
Bonyeza hapo chini Ku-download PDF
Elimu ya Teknolojia na Fursa za Ajira katika Sekta ya IT
#ElimuYaTeknolojia #
Download PDF