Hii hapa orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili kada za Ualimu Mkoa wa Mtwara 2025 kufanya interview yaliyo tangazwa muda huu kutoka ajira portal kupitia sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa Umma.
Majina ya wasailiwa wa kada za ualimu watakaofanyia usaili mkoa wa mtwara kwa wenye usaili wa kuandika, usaili huo utafanyika: tanzania institute of accountancy - mtwara campus
Usaili wa mahojiano utafanyika: chuo cha ualimu ufundi - mtwara
Bonyeza hapa kuona majina yote ya interview ya walimu Mtwara