Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA Mamlaka ya Mapato Tanzania Kutoka Kesho.
Mkurugenzi wa Rasilimali watu na utawala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Moshi Jonathan Kabegwe amesema majina ya waombaji wa ajira 1596 za TRA zilizo tangazwa hivi karibuni yatatangazwa rasmi tarehe 22, Machi 2025 kupitia tovuti ya TRA (tra.go.tz) kwa ajili ya usaili wa kuandika utakao fanyika Machi 29 na 30 mwaka huu kwenye vituo 9.