MAPUMZIKO: Kombe la shirikisho Africa (CAFCC) na michuano ya kilabu bingwa Africa (CAFCL)

MAPUMZIKO: Kombe la shirikisho Africa (CAFCC) na michuano ya kilabu bingwa Africa (CAFCL)

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Wawakirishi pekee wa Tanzania katika michuano ya shirikisho Africa CAFCC, Simba sports club wanalazimika kutoka suruhu ya Goli Moja Kwa Moja kipindi Cha Kwanza na Cs Sfaxien ya Tunisia huku matokeo mengine ni👇

  • CD Lunda sul 0 vs 0 Stellenbosch FC
  • Orapa United 0 vs 0 Asc Jaraaf
  • Associacao Black bulls 1 vs 0 Enyimba Fc
    FB_IMG_1734270717417.webp
Huku kunako klabu bingwa Africa CAFCL.

Mameloid sundowns wanalazimika kwenda mapumziko wakiwa suruhu ya bila kufungana na Raja Casablanca.
FB_IMG_1734270722734.webp
 

Download PDF

  • FB_IMG_1734270717417.webp
    FB_IMG_1734270717417.webp
    57.9 KB · Views: 162
Back
Top Bottom