- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 160
Michezo ya mapema Leo Kombe la shirikisho Africa CAFCC imefika mapumziko huku Simba wakiongoza ugenini Dhidi ya Cs Sfaxien ya Tunisia, huku Stellenbosch FC wakiwa suruhu Dhidi ya CD Lunda sul, Asc Jaraaf wakiwa sale ya bila bila Dhidi ya Orapa United huku Asec mimosa akiongoza Goli Moja Dhidi ya USM Alger na Mchezo mwingine Al Masry sc wakiwa suruhu Dhidi Ya Zamarek na Enyimba Fc wakiongoza mbili Kwa Moja Dhidi Ya Associacao black bull's.