Gift submitted a new resource:
Maswali ya interview (usaili) kwa kada ya ualimu Ajira Portal yapoje? - Ajira Portal Maswali ya interview (usaili) kwa kada ya ualimu yapoje?
Read more about this resource...
Maswali ya interview (usaili) kwa kada ya ualimu Ajira Portal yapoje? - Ajira Portal Maswali ya interview (usaili) kwa kada ya ualimu yapoje?
Haya hapa Maswali ya interview ya ualimu (Usaili Wa Walimu) Ajira Portal katika nafasi za kazi mblimbali zilizo tangazwa na Utumishi Sekretarieti ya Ajira. Pitia haya maswali kwa umakini ujiweke katika njia sahihi.
Maswali ya interview (usaili) kwa kada ya ualimu
1. Eleza maana ya “ELIMU”.
2. Taja sifa za mtu aliyeelimika.
3. Taja na fafanua njia kuu tatu za kupata elimu.
4. Taja na fafanua madhumuni manne ya elimu ambayo yanakidhi nchi zote duniani.
5. Chagua...
Read more about this resource...