Maswali ya usaili wa kuandika TRA

Maswali ya usaili wa kuandika TRA Interview 2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Haya hapa tumekuandalia Maswali ya usaili wa kuandika TRA, Yaani multiple choice Questions Maswali zaid ya 45 kwenye kila kada zote zilizotangaza nafasi za kazi TRA, Hatuja acha hata moja pitia Possible hizi na uendelee kujiandaa na Usaili kwakutafuta maswali na mbinu nyingine, BONYEZA HAPA KUPAKUA PDF
Maswali ya usaili wa kuandika TRA (2).webp
 
Last edited:
Me sijapokea Email wamesema uje na barua ya kuitwa kwenye usaili....japokua jina langu lipo kwenye mkeka ila email sijapokea ni mimi tu au hata kwenye spam hakuna
 
Haya hapa tumekuandalia Maswali ya usaili wa kuandika TRA, Yaani multiple choice Questions Maswali zaid ya 45 kwenye kila kada zote zilizotangaza nafasi za kazi TRA, Hatuja acha hata moja pitia Possible hizi na uendelee kujiandaa na Usaili kwakutafuta maswali na mbinu nyingine, BONYEZA HAPA KUPAKUA PDF Maswali ya usaili wa kuandika TRA (2).webp
Kama Kuna group la laboratory officer kwaajili ya discussion naomba niungwe tafadhali
 
Jamani sorry mwenye maswali ya tra kuhusu customer assistance officer and record management officer anisaidie
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom