Haya hapa Maswali ya Usaili Watendaji wa Vijiji na Mitaa | Mtendaji wa kijiji na Mtaa unayoweza kutana nayo katika saili mbalimbali za utumishi na ajira portal.
Tangu mwaka 1984, Serikali iliporejesha Mfumo wa Serikali za Mitaa, jitihada kubwa zimekuwa zikifanyika katika kujenga mfumo imara wa kitaasisi ili kusimamia na kuratibu shughuli za utawala, utendaji na maendeleo katika ngazi ya Mkoa, Wilaya Halmashauri, Tarafa, Kata, Kijiji, Mtaa na Kitongoji. Lengo kuu la kurejesha mfumo huu lilikuwa ni kuwawezesha wananchi kupata fursa ya kushiriki kwa ukamilifu katika kupanga na kufanya maamuzi yanayohusu maendeleo katika maeneo yao.
• Kuelewa Sheria, Muundo na mfumo wa Uendeshaji wa Serikali za Mitaa;
• Kuelewa dhana ya Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa;
• Kuelewa Muundo wa Utumishi wa Maafisa Watendaji wa Vijiji na Mitaa;
• Kuelewa Kazi , Wajibu na Haki za Maafisa Watendaji wa Vijiji na Mitaa;
• Kuelewa Wajibu wa Afisa Mtendaji wa Kijiji na Mtaa kama Mlinzi wa Amani;
• Kuelewa mbinu za Menejimenti na Uongozi, Sheria za Kazi na Usuluhishi wa Migogoro;
Tangu mwaka 1984, Serikali iliporejesha Mfumo wa Serikali za Mitaa, jitihada kubwa zimekuwa zikifanyika katika kujenga mfumo imara wa kitaasisi ili kusimamia na kuratibu shughuli za utawala, utendaji na maendeleo katika ngazi ya Mkoa, Wilaya Halmashauri, Tarafa, Kata, Kijiji, Mtaa na Kitongoji. Lengo kuu la kurejesha mfumo huu lilikuwa ni kuwawezesha wananchi kupata fursa ya kushiriki kwa ukamilifu katika kupanga na kufanya maamuzi yanayohusu maendeleo katika maeneo yao.
Maswali ya Usaili Watendaji wa Vijiji na Mitaa
Agenda ya kuziimarisha Serikali za Mitaa iliyoidhinishwa mwaka 1996 ina lengo la kukidhi mahitajiya kuwawezesha wananchi kushiriki kwa ukamilifu katika shughuli za maendeleo. Aidha, programuhii inalenga kutanzua matatizo kadhaa ambayo yamezikumba Serikali za Mitaa kwa muda mrefu.Matatizo hayo ni pamoja na yale ya kimfumo na kisheria ambayo yamesababisha mwingilianowa majukumu pamoja na miundo ya utumishi kutoeleweka na watumishi wahusika wa Serikali zaMitaa kama vile Maafisa Watendaji wa Kata, Vijiji na Mitaa. Hali hii imesababisha baadhi ya MaafisaWatendaji wa Kata,Vijiji na Mitaa kutekeleza majukumu na wajibu wao bila melekeo na kuonekanakama miungu watu ndani ya jamii – jambo ambalo linasababisha kero kwa wananchi na kukosaimani kwa Serikali yao.Maswali ya Interview Mtendaji wa kijiji na Mtaa
Shabaha au lengo kuu la mafunzo haya ni kuwawezesha Maafisa Watendaji wa Vijiji na Mitaa kuelewa na kuzingatia misingi na utaratibu wa utekelezaji wa majukumu yao kulingana na malengo ya Serikali. Aidha, madhumuni mahsusi ya mafunzo haya ni kuwawezesha Maafisa hao.• Kuelewa Sheria, Muundo na mfumo wa Uendeshaji wa Serikali za Mitaa;

Attachments