Gift submitted a new resource:
Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 (CSEE) Form Four Results 2024/2025 - Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2024 kwa form four waliomaliza kupitia NECTA
Read more about this resource...
Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 (CSEE) Form Four Results 2024/2025 - Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2024 kwa form four waliomaliza kupitia NECTA
Wananchi, Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 yanatarajiwa kutolewa hivi karibuni na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Ili kupata matokeo yako, tembelea tovuti rasmi ya NECTA: www.necta.go.tz.
Baada ya kufungua tovuti, chagua sehemu ya "Matokeo" na kisha uchague "CSEE" kwa ajili ya matokeo Kidato cha Nne. Chagua mwaka 2024, kisha tafuta jina la shule yako na jina lako ili kuona matokeo yako.
Kwa wale...
Read more about this resource...