Michezo ya Leo Ligi ya mabingwa Africa (CAFCL) na Ligi ya shirikisho Africa (CAFCC)

Michezo ya Leo Ligi ya mabingwa Africa (CAFCL) na Ligi ya shirikisho Africa (CAFCC)

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Wawakirishi pekee wa Tanzania katika michuano ya shirikisho Africa Leo Simba sports club kukipinga na CS SFAXIEN saa 10:00 jioni, uwanja wa Mkapa Tanzania

Simba sports club Kwa Sasa wanashika nafasi ya pili wakiwa na alama tatu Nyuma ya kinara wa kundi Cs Constantine ya Algeria yenye alama 6 nayo kushuka Leo ugenini kukipiga na FC Bravos Do Maquis inayoshika nafasi ya mwisho Kwenye kundi hilo.

FB_IMG_1734257817326.webp


Huku michuano ya kilabu bingwa Africa kuendelea kutimua vumbi Kwa michezo miwili, Mabingwa wa Africa super league Manelodi sundowns wakiwakaribisha Raja Casablanca, pia mchezo mwingine Djoliba Ac De Bamako wakiwakaribisha Gd Sagrada Esperanca.
FB_IMG_1734257823824.webp
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom