- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 192
Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Jean Othos Baleke amegoma kwenda kwa mkopo katika klabu ya Namungo Fc na anataka kulipwa chake aondoke Yanga...
Yanga hawana mpango na nyota huyo wa kimataifa wa DR Congo na kinachokwamisha kuvunja mkataba wake ni baadhi ya vipengele vilivyopo kwenye mkataba wake.