- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 160
Simba anaendelea kusalia pale juu nafasi ya kwanza na alama 40 akishinda michezo 13 sale 1 na kupoteza 1 huku akifunga mabao 31 na kuruhusu mabao 5 pekee.
Simba amekamilisha michezo yake yote ya Ungwe ya kwanza. Yanga mwenye alama 36 Nyuma ya Simba huku akiwa na Mchezo mmoja mkononi kukamilisha Ungwe ya kwanza.