Msimamo Ligi Kuu Bara NBC 2025/2026 Leo

Msimamo Ligi Kuu Bara NBC 2025/2026 Leo 14-11-2025

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Huu hapa msimamo wa ligi kuu ya NBC Premier League Tanzania kwa msimu wa 2025/2026. Hapa chini kuna muhtasari wa msimamo wa timu baada ya michezo ya hivi karibuni:

NBC Premier League 2025/2026 – Msimamo wa Ligi

Muhtasari:
  • Young Africans SC (Yanga) inaongoza ligi ikiwa na pointi 10 baada ya mechi 4.
  • Simba SC inashika nafasi ya pili ikiwa na pointi 9, lakini ina mechi moja mkononi.
  • Pamba Jiji inashika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 9 pia, ila ina mechi nyingi zaidi.
  • KMC FC ipo mkiani ikiwa na pointi 3 pekee na tofauti ya magoli -8
 Msimamo Ligi Kuu Bara NBC 2025/2026
 
Back
Top Bottom