- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 160
Yani kila ukimuangalia Mudathir Yahya unapata picha ya namna Kiungo Chuma anatakiwa kuwa, nazani ndio kiungo bora zaidi wa kati anaweza kuzuia njia za mipira ‘Ball paths’ kwa usahihi sana kutoka kwa mpinzani / actions.
Ongeza hapo always available uwanjani dah hata Kocha Sead Ramovic anaona jinsi anavyoshida mechi zake baada ya kumpa nafasi Kiungo Chuma ‘Mudathir Yahya’ , then kila mchezaji ambaye utampa acheze naye yeye atapiga nae bila kupunguza ufanisi : ni vile tu baadhi hawafatilii kazi yake uwanjani , lakini kuna kiungo bora bora ndani yake.
Angalia Khalid Aucho akicheza na kiungo mwingine tofauti na Mudathir Yahya ufanisi unakuwa mdogo zaidi , lakini ikiwa Partnership ya Khalid Aucho + Mudathir Yahya kuna bima nzuri sana kwenye kiungo cha Yanga Sc.