Nafasi 10 za Ajira Mpya Wilaya ya Ileje

Nafasi 10 za Ajira Mpya Wilaya ya Ileje Ajira Portal

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Hili hapa tangazo la Nafasi 10 za Ajira Mpya Wilaya ya Ileje Tanzania Februari 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo.
Nafasi 10 za Ajira Mpya Wilaya ya Ileje

Leo, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje kuomba nafasi ya kazi zilizotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kutoka Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Bonyeza hapo chini Ku-download PDF na kutuma maombi
 

Attachments

Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom