S

Nafasi 2 za Ajira Mpya Kutoka Manispaa ya Bukoba Utumishi Octoba 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

SiaVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 41%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
342
PSRS: Leo, tarehe 23, 2024 wametangaza nafasi za kazi katika ajira mpya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba amepokea kibali cha ajira chenye Kumb.Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Utawala Bora. Anawatangazia Watanzania wote wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 2 za Msaidizi wa Kumbukumbu II kama inavyoonekana hapa chini:-

Nafasi zilizo tangazwa​

  1. Msaidizi wa kumbukumbu - Nafasi 2
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 04, Novemba, 2024
Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu.
 
Back
Top Bottom