Nafasi za Ajira Mbeya cement

Nafasi za Ajira Mbeya cement

NECTA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025 SHULE ZOTE BONYEZA HAPA
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Tintmon

New member

Reputation: 1%
Joined
Dec 5, 2024
Messages
6
MBEYA CEMENT Imetanagza Nafasi za Ajira kwa:-

1.(LEARNING AND DEVELOPMENT COORDINAT) Mratibu wa mafunzo na maendeleo
2.(MAINTENANCE INSPECTOR) Mtaalamu wa ukaguzi na matengenezo

Awe na Degree au Diploma Respectively Waombaji wanaombwa kuwasilisha nyaraka zifuatazo kupitia: [email protected] kwa kuonyesha nafasi wanayoomba kwenye sehemu ya mada ya barua pepe:
1.Barua ya Kuomba Ajira kwa nafasi husika;
2.Wasifu wa Maisha (CV);
3.Vyeti vya Kitaaluma

Tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi: Desemba 22, 2024.
1000015967.webp
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom