Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi 15 MDAs & LGAs Utumishi Tanzania Februari 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo.
Leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi kumi na tano (15) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs 19-02-2025

Nafasi za Kazi Rightway Schools
Ajira Mpya 2025