Nafasi za kazi Alliance Life Assurance Ltd Desemba 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
891
Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi Alliance Life Assurance Ltd Desemba 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
Nafasi za kazi Alliance Life Assurance Ltd Desemba 2024

Alliance Life Assurance Ltd ilianzishwa mwaka 2010 ikiwa kama kampuni ya kwanza ya bima ya maisha inayomilikiwa na Watanzania binafsi. Kampuni hii imepanua wigo wake katika ukanda wa Afrika Mashariki na kuwa moja ya kampuni zinazoongoza katika huduma za bima na kifedha, ikitoa suluhisho za bima ya maisha kwa wateja wa makampuni na binafsi. Alliance Life inasifika sana kwa uongozi bora, ubunifu, huduma kwa wateja, na usimamizi wa hatari.

Kichwa cha Kazi: Meneja Mkuu wa Usambazaji wa Rejareja
Idara: Idara ya Rejareja
Mahali: Dar es Salaam
Anaripoti Kwa: Afisa Mtendaji Mkuu
 
Attachments

Jinsi ya kuaaply
 
Back
Top Bottom