Kampuni ya Coca Cola wametangaza nafasi za kazi mpya kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo mapema kujaza ajira mpya zifuatazo kwenye PDF hapo chini. Coca-Cola Kwanza Ltd ina nafasi nzuri kwenye kitengo cha Mauzo na Masoko! Tunatafuta mtu mwenye ujuzi na uzoefu wa Mauzo na Masoko kwa nafasi ya Meneja wa Mauzo atakayefanya kazi Dar es Salaam. Mtu atakayepata nafasi hii ataripoti moja kwa moja kwa Mkurugenzi wa Mauzo.
Bonyeza hapa kutuma maombi
Bonyeza hapa kutuma maombi
Nafasi za Kazi HDT Tanzania
Ajira za Afya
Nafasi za Kazi Wasafi
Kampuni ya Wasafi