Nafasi za Kazi kutoka TARURA Januari 2025

Nafasi za Kazi kutoka TARURA Januari 2025 Ajira Mpya 37

Yovina daniel

Member

Reputation: 7%
Joined
Dec 4, 2024
Messages
58
Hizi hapa Nafasi za Kazi kutoka TARURA Januari 2025. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) ni wakala wa serikali chini ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (PO-RALG). Wakala huu ulianzishwa kwa lengo la kuendeleza, kuhifadhi, na kuboresha usalama wa barabara, huku pia ukichukua jukumu muhimu la kusimamia athari za kimazingira zinazotokana na barabara, pamoja na kuhakikisha udhibiti wa uzito wa magari unafanyika kwa ufanisi kwenye mtandao wa barabara za wilaya nchini Tanzania.
Nafasi za Kazi kutoka TARURA Januari 2025

Kwa sasa, TARURA inatafuta Watanzania wenye ari, sifa, na ujuzi wa kutosha ili kujaza nafasi mbalimbali za kazi kwa mkataba wa miezi kumi na miwili (12). Ikiwa unajivunia kuchangia maendeleo ya miundombinu ya Tanzania, huu ni wakati wako wa kujiunga na timu hii makini!

Pakua PDF hapo chini.
 

Attachments

Back
Top Bottom