Nafasi za kazi Shule ya Awali na Msingi The Finest Desemba 2024

Nafasi za kazi Shule ya Awali na Msingi The Finest Desemba 2024

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,737
SHULE YA AWALI NA MSINGI THE FINEST INATANGAZA NAFASI ZA KAZI
KAMA IFUATAVYO;
1. Mwalimu Daraja A (Masomo ya Sayansi) Nafasi 01
2. Dereva (nafasi 02)
3. Msimamizi (Matron) Nafasi 02
4. Meneja wa Shule. (Nafasi 01)
5. Mpishi (Nafasi 01)
Nafasi za kazi Shule ya Awali na Msingi The Finest Desemba 2024

Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, pamoja na CV za
waombaji

Maombi yaelekezwe kwa Mkurugenzi, The Finest Pre & Primary School, P.o.Box 30324,Kibaha au yawasilishwe moja kwa moja Shuleni,Bungo/Umwerani.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 20 Disemba 2024, saa 10.00 jioni.
 
Weka email au whatsapp namba,hayo mambo ya posta au kutembea na bahasha na jua hili wap na wap? Ukute mshahara wenyewe laki 2
 
Back
Top Bottom