Nafasi za kazi Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA) December 2024

Nafasi za kazi Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA) December 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,180
Hizi hapa Nafasi za kazi Taasis ya Uhasibu Arusha (IAA) December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote nia, ari na sifa kulingana na vigezo vilivyowekwa katika tangazo hili hapa chini.
Nafasi za kazi Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA) December 2024

Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA) ni chuo cha umma kinachotoa mafunzo ya shahada ya kwanza na ya uzamili. Chuo hiki kilianzishwa chini ya Sheria ya Taasisi ya Uhasibu Arusha Na. 1 ya mwaka 1990. Makao yake makuu yapo Njiro Hill, umbali wa kilomita saba Kusini-Mashariki mwa Jiji la Arusha. Pia, kina matawi Babati, Dar es Salaam, Dodoma, na Songea.

Ajira zilizo tangazwa​

1. SECRETARY II – (4 POSTS) (2- Arusha) (1-Babati) (1-Dar es Salaam)
 

Attachments

Back
Top Bottom