Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuendesha uchaguzi wa Rais na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na madiwani kwa Tanzania Bara, mwaka 2025. Katika kutekeleza jukumu hilo, Tume inatangaza nafasi za kazi ili kupata Watendaji watakaosimamia zoezi hilo kwa Tanzania Zanzibar.
Kazi hizo ni zifuatazo:
Kazi hizo ni zifuatazo: